This is PCCB - UoA's Typepad Profile.
Join Typepad and start following PCCB - UoA's activity
PCCB - UoA
Arusha-Tanzania
by his stripes
Interests: LOVE FOR HUMAITY
Recent Activity
PCCB - UoA added a favorite at Mwalimu Marwa's blog
May 31, 2011
UANDIKISHAJI WA WANACHAMA KATIKA CLUB YA WAPINGA RUSHWA
Tunapenda kuwapongeza wanafunzi wote waliojiandikisha kujiunga na Club ya wapinga rushwa chuo kikuu cha Arusha.Aidha uchaguzi wa viongozi unatarajiwa kufanyika hivi karibuni kwa tarehe zitakazotangazwa baadaye baada ya kuwasiliana na uongozi wa PCCB tawi la Arusha.kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa kupitia blogg hii. Continue reading
Posted May 12, 2011 at Mwalimu Marwa's blog
Comment
0
TAKUKURU yaendesha matamasha ya sanaa kwa klabu za wapinga rushwa
TAKUKURU yaendesha matamasha ya sanaa kwa klabu za wapinga rushwa Yalilenga kuziimarisha na kuzishirikisha klabu katika mapambano dhidi ya rushwa. TAKUKURU imeendesha matamasha ya sanaa kwa wanachama wa Klabu za Wapinga Rushwa katika mikoa ya Dodoma, Kigoma, Pwani, na Mbeya kwa mwezi Machi na Aprili 2010. Wanachama wa Klabu hizo... Continue reading
Posted May 12, 2011 at Mwalimu Marwa's blog
Comment
0
Prevention and Combating of Corruption Bureau
Prevention and Combating of Corruption Bureau Dkt.Hoseah: TAKUKURU kuongeza kasi ya mapambano dhidi ya rushwa Taasisi kujiimarisha katika kukusanya ushahidi, kupunguza umangi meza na kuzuia vitendo vya rushwa Awataka watendaji sekta ya umma kuzingatia sheria, kuwa wazalendo Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dkt. Edward... Continue reading
Posted May 12, 2011 at Mwalimu Marwa's blog
Comment
0
SHINDANO LA KUCHORA KATUNI, 2010
The Prevention and Combating of Corruption BUreau Skip to content SHINDANO LA KUCHORA KATUNI, 2010 Mnamo Machi na April, 2010 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa iliendesha shindano la kuchora katuni. Shindano hili lilifanyika kwa wanachama wote wa Klabu za Wapinga Rushwa katika wilaya 113 Tanzania Bara na liliratibiwa... Continue reading
Posted May 12, 2011 at Mwalimu Marwa's blog
Comment
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu
Continue reading
Posted Apr 28, 2011 at Mwalimu Marwa's blog
Comment
0
it is me dude!
Keep It Simple: Keep Your Blog Organized with Categories
When it comes to building an audience for your blog, attracting visitors is only half the battle. The real key is to keep their interest once they've arrived. Having a well-organized blog can be your secret weapon. Readers should be able to see at a glance what topics your blog covers, and then e...
PCCB - UoA is now following The Typepad Team
Apr 28, 2011
Subscribe to PCCB - UoA’s Recent Activity