PCCB - UoA’s Favorites

New Post
Tunapenda kuwapongeza wanafunzi wote waliojiandikisha kujiunga na Club ya wapinga rushwa chuo kikuu cha Arusha.Aidha uchaguzi wa viongozi unatarajiwa kufanyika hivi karibuni kwa tarehe zitakazotangazwa baadaye baada ya kuwasiliana na uongozi wa PCCB tawi la Arusha.kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa kupitia blogg hii. Continue »